JIFUNZE KUUTAFUTA USO WA MUNGU - LIFE IN JESUS MINISTRY

Breaking

LIVE GOD LIFE

live life in jesus

Post Top Ad

LIVE LIFE IN JESUS

Monday, November 13, 2017

JIFUNZE KUUTAFUTA USO WA MUNGU

JIFUNZE KUUTAFUTA USO WA MUNGU

Nimesoma kitabu cha kutoka ...nimejifunza vitu vingi sana juu ya safari ya wana waisrael jinsi ambavyo  Mungu alikuwa pamoja nao kwa sababu walikua n wana wa agano.  Lakin mejifunza zaidi katika KUTOKA 33:12------- 

  • Licha ya kwamba neeema ya Mungu  ilikuwa juu ya Musa  hakuacha kujiona anamhitaji Mungu  wakati wote na Mungu wakati wote. Na  Mungu  akamuahidi kwa uso wake utakwenda pamoja na yeye.Musa hakuona kuwa kuambiwa na Mungu tu imetosha.KUTOKA 33:15 Musa akasema  USO WAKO USIPOKWENDA NA MIMI USITUCHUKUE KUTOKA HAPA.Ni maneno yenye nguvu sana.

  •  Nilichojifunza  kuwa hata kama unakubalika kiasi gan mbele za Mngu kuutafuta uso wa MUNGU  au uwepo  wake katika maisha yetu ni kitu cha lazima.Tunahitaji kutembea katika ktk nguvu/uwepo wa Mungu  wakati wote haijalishi Mungu amekuahidi nini tafuta uso wa Mungu mahali popote  uendako.

  • Musa aliona bila uwepo wa Mungu yeye si chochote. 

Tujifunze kuutafuta  uso wa  Mungu kwa hali yeyote ile...........TO WALK IN HIS PRESENCE TO THE MAXIMUM, kaa magotini kwake kam ni kuomba omba,funga kwa Maombi,soma neno lake utaona udhihirisho wa MUNGU katika maisha yako.Na Mungu atajitukuza kupitia sisi.

   Mungu akubariki sana 

  by JEMA LAMECK

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

LIVE LIFE IN JESUS