KUTEMBEA AU KULIISHI KUSUDI LA MUNGU - LIFE IN JESUS MINISTRY

Breaking

LIVE GOD LIFE

live life in jesus

Post Top Ad

LIVE LIFE IN JESUS

Sunday, November 19, 2017

KUTEMBEA AU KULIISHI KUSUDI LA MUNGU

kusudi ni hali kutimiza kitu fulani katika maisha yako.
KUSUDI LA MUNGU  ni hali ambayo Mungu  ametuwekea wanadamu  katika maisha yetu ili kuweza kutimia kwa jambo fulani ndani yetu.Kitabu cha Mwanzo 1:1...... kinaelezea jinsi uumbaji wa Mungu  kwa vitu na binadamu kusudi la Mungu katika maisha yetu  si kuishi ya maisha ya mateso aliituumba ili tutawale
        KUISHI NA KUTAWALA
Akatuumba kwa mfano wake ili tuishi ndani yake kwa kusudi lake kuu.Ili uweze kufanikiwa katika  maisha yako ishi ndani ya kusudi la Mungu afu utaona ushindi juu yako.
Yeremia 1:4-5-8
Isaya41:10
ILI UWEZE KULIISHI KUSUDI LA MUNGU (VITU VYA KUZINGATIA)
1.      KULIISHI NENO(NENO LA MUNGU)
Yoh 1;1 Yoh 4;24 Yoh 6:63
2.      UTII
Mwanzo 12:1-3    Isaya 1:19-20
      3.KUWA NA MOYO WA NYAMA(KUNYENYEKEA)
      EZEKIEL 36:26-27
Ø  Moyo ulioshuka
Ø  Moyo wa utii
Ø  Moyo mpya uliobeba vitu vipya
Ø  Moyo wenye hofu ya Mungu
Ø  Moyo usiojihesabia haki  Isaya 57:15
Ø  Moyo uliotayari kuendeshwa na roho na Mungu.
     4.KUWA  NA IMANI
         Ebrania 11:1
Usikate tamaa  kwa  jambo lolote amini Mungu anakuwazia mema.Jifunze kukaa katika kusudi la Mungu.haijalishi unapitishwa katika Magumu gani usiangalie ukubwa wa tatizo  wewe muone kwa kila kitu Mungu naye atakushindia
                          Na Mungu akubariki






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

LIVE LIFE IN JESUS