Wakati mwingine watu weng tunashindwa kuendelea kwa sababu tunashindwa kuachili
Tumekuwa tunabebelea watu mioyon mwetu,Roho mtakatifu anaishi mahali safi ebu jifunze kuachilia/kusamehe ebu ona stefano alipigwa mawe lakin akasamehe Yesu mwenyew alisema wasamehe maaana hawajui walitendalo
USIFANYE MOYO MGUMU ACHILIA SAMEHE NA MUNGU ATAJITUKUZA KWAKO
Post Top Ad
LIVE LIFE IN JESUS
Wednesday, November 15, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
LIVE LIFE IN JESUS
Author Details
LIVE LIFE IN JESUS ni blog inayohusu mafundisho ya kiroho na mambo mengine karibun sana.
Pia kwa kujifunza zaidi juu ya kusamehe fuata link hii https://wingulamashahidi.org/2018/11/20/samehe-kutoka-ndani-ya-moyo-wako/
ReplyDelete