1.MAOVU
Isaya 59:1-2
maovu yetu ndiyo sababu kubwa Mungu anashindwa kujidhihirisha kwetu maovu yetu yanatufarakanisha na uso wa Mungu
2.KUKATA TAMAA
Roho ya kukata tamaa ni kizuizi kikubwa katika maisha yetu.
3.LENGO BAYA
Maombi ya kujisifu Mungu hawezi kujidhihirisha (TUFANYE MAOMBI KWA AJILI YA UTUKUFU WA MUNGU NA KUMWINUA) na Mungu atajidhihirisha kwetu.
4.KIBURI
Luka 18:10-14
Kuomba kwa kutokuangalia hali ya kimaisha utajiri,umaskini na mengineyo.
5.MAOMBI
Mambo katika ulimwengu wa Roho hayaendi pasipo imani
6. KUSAMEHE
Watu wengi tunashindwa kusamehe tunashindwa kujiachilia tunabeba vitu vizito moyoni mwetu (uchungu) Mungu anaangalia moyo wa mtu,Mungu hakai mahali penye huzuni jifunze kusamehe.Marko 5:21-27
Efeso 3:12
7.KUJIACHILIA
Jifunze kuachilia kila aina ya vikwazo ktk maisha yetu tunaweza kusamehe ila tatizo ni kuachilia
- Daudi anasema katika magumu yote nalimwona bwana kasimama mbele yangu.Tujifunze kutokukata tamaa,kuw na imani,kuliishi neno,kuwa na moyo wa nyama (moyo wa kunyenyekea, usiojihesabia haki moyo uliopondeka)
No comments:
Post a Comment