kumb kumb 30:19
"Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo,kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti,baraka na laana;basi chagua uzima ,ili uwe hai, wewe na uzao wako"
Kuchagua ni uamuzi wako kuchagua uzima,kuchagua laana,
fanya maamuzi yaliyo sahihi ili uwe na uzima......Mungu amevileta vyote kwetu ili tuwe huru kuchaguaa.
JIFUNZE KUFANYA MAAMUZI YALIYO SAHIHI KATIKA MAISHA YAKO ILI UWE HURU
Post Top Ad
LIVE LIFE IN JESUS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
LIVE LIFE IN JESUS
Author Details
LIVE LIFE IN JESUS ni blog inayohusu mafundisho ya kiroho na mambo mengine karibun sana.
No comments:
Post a Comment