Kumbu kumbu la torati
28:1
“ITAKUWA UTAKAPOSIKIA SAUTI YA BWANA,MUNGU
WAKO,KWA BIDII,KUTUNZA KUYAFANYA MAAGIZO YAKE YOTE NIKUAGIZAYO LEO,NDIPO BWANA
,MUNGU WAKO,ATAKAPOKUTUKUZA JUU YA MATAIFA YOTE DUNIANI;”
KUMB 28:1-23
Unaweza kuisikia sauti ya Mungu kwa njia mbalimbali
Kwa njia ya neo
Ndoto/maono
Majaribu
Kupitia watumishi wa Mungu.
Ili uweze kufanikiwa ni lazima uisikie sauti ya Mungu na
kutenda sawasawa na mapenzi ya Mungu
UMUHIMU WA KUISIKIA
SAUTI YA MUNGU
ü
UTABARIKIWA
– Mungu ataenda kuachilia Baraka juu yako kila mahali utabarikiwa kumb
28:2-6
ü
ATAKULINDA
NA ADUI ZAKO – adui zako watakwenda kuigwa maana umeshabarikiwa kumb 28:7-8
ü
BWANA
ATAKUFANYA UWE JUU kumb 28:9-10
ü
BWANA
ATAKUFANYA UWE KICHWA – bwana
ataenda kuachilia neema utakuwa juu
atakupa akili,maarifa na adili kumb 28
-13
Lakini Mungu anasema ukienda kinyume na kutokuisikiliza
sauti yake
KUMB 28:15
ü
UTALAANIWA
– utalaniwa mahali popote
Ukisikia sauti ya Mungu
na kugeuka unaweza ukabadilisha mazingira uliyopo haijalishi unapitia
vitu gani kwenye maisha yako.Mungu anajidhihirisha kwa mambo mbalimblia hata
ktika maribu yako usikate tama
Yeremia 7:22-23, Yeremia 9:12-16, Yeremia 11:1-15
Yatupasa kuisikiliza
sauti ya Mungu ili tuweze kufanikiwa katika mambo yetu
No comments:
Post a Comment