JIFUNZE KUMWAMBIA MUNGU MATATIZO YAKO ILI UWE HURU - LIFE IN JESUS MINISTRY

LIVE GOD LIFE

live life in jesus

Post Top Ad

Friday, December 1, 2017

JIFUNZE KUMWAMBIA MUNGU MATATIZO YAKO ILI UWE HURU

LIVE LIFE IN JESUS
Watu wengi tumekuwa tukiyaona matatizo yetu zaidi au tunalalamika kwa sababu ya vile tunavyopitia lakin tunasahau kuwa kuna Mungu(HATUMUONI MUNGU) huwa tunaona kuwa kulalmika na kulia au kuumia kwa ajili ya yale tunayopitia n suluhisho.Lakin neno linasema  katika Wafilipi 4:6
USIJISUMBUE KWA  NENO LOLOTE; BALI KATIKA  KILA NENO KWA KUSALI NA KUOMBA,PAMAOJA NA KUSHUKURU HAJA ZENU  NA ZIJULIKANE NA MUNGU.
Ebu ona ni jinsi gani Mungu an upendo kwa ajili yetu,tafuta kukaa magotini mwa MUNGU ili ajitukuze juu yako(HUMBLE YOURSELVES) 
Basi jifunze kumwambia Mungu shida zako ili ujiweke huru.
jesus_christ_image_038_small

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad